Monday, 17 October 2016

FURSA YA BIASHARA YA KIDIGITALI YA KIFEDHA(ONECOIN)

ONECOIN
FURSA YA BIASHARA YA KIDIGITALI YA KIFEDHA

OneCoin Limited ni kampuni ya kimataifa yenye masoko/wanachama katika nchi mbalimbali za Ulaya, Asia, Latin Amerika na Africa. Ina ofisi kadhaa Ulaya, Hong Kong na UAE, na taratibu inaendelea kuongeza ofisi sehemu zingine duniani.
OneCoin Limited inafanya biashara/kutoa huduma za kifedha kwa mfumo unayojulikana kitaalam kamaCryptocurrency ambao unatafsiriwa kama Digital Currency yaani sarafu ya kidigitali.
Sarafu hii kidigitali (One coin) inabeba thamani kama fedha ya kawaida.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa tarehe 01 oktoba 2016; OneCoin inawanachama milioni 14 wenye akaunti, na wanachama 2,500,000 wenye package (active members in business).


DHANA (CONCEPT) YA BIASHARA YA ONECOIN
Ili kuingia katika biashara ya OneCoin, kwanza unajisajili na kuwa mwanachama (for free), na utapata akaunti ya uanachama. Baada ya hapo unanunua bidhaa (package) toka kwa kampuni. Ziko package takribani 10 na kila moja ina bei yake. Kiambatanisho (attachment) inaeleza vizuri juu ya package hizo.
Kila package ina vitu kadhaa kama:
·         Tokens
·         Split(s)
·         Business Points (BV)
·         One Life Points (OLP)
·         AneAcademy Education Level

Sasa niizungumze biashara hii katika sehemu tatu.

SEHEMU YA KWANZA

Biashara ya Kifedha

·         Tokens ndiyo malighafi inayotengeza One Coins.
·         Coin moja ya OneCoin inatengezwa na tokens 70 baada ya hatua ijulikanayo kama mining.
·         Coins zimepewa thamani katika Euro (€), ambapo Coin moja ni sawa na Euro 6.9511 (thamani ya sasa). Ambapo Euro moja ni sawa Tsh 2,500.
 
Nitumie mfano wa Package ya kwanza iitwayo STARTER PACKAGE ambayo inasura ifuatayo:

Price/Bei: 110 EUR (= Tsh 275,000/=)



  
¨ 1 000 Promo tokens
¨ 0 Aurum Gold Coins
¨ 110 BV Points
¨ 100 OLP points daily*
¨ Number of Split  -  1
¨ OneAcademy Level 1
 Kwa kuwa ndiyo manunuzi ya kwanza, katika bei hiyo utaongeza sh 75,000 (Euro 30) ambayo ni ada kwa akaunti utakazopewa, na hulipwa mara moja tu. Hivyo kufanya jumla kuwa Tsh 350,000 (Euro 140).
Ina tokens 1000, na Split moja, kwamba baada ya Split Barometer kufika asilimia 100, tokens hizo zina double na kuwa tokens 2000. Na sasa mwanachama anazituma kwenda MINING, ili kutengeza sarafu ya kidigitali (One Coin). Ambapo tokens hugawanywa kwa MINING DIFFICULTY, ambayo 70, hivyo:
2000/70 = 28.57 Coins
Coins 28.57 ni Tsh ngapi?
1 coin = Euro 6.9511
28.57 coins = Euro 6.9511 x 28.57 = 198.59 Euro
Kwa fedha ya Tanzania utazidisha Euro 198.59 kwa 2500. Utapata Tsh 496,482.
Hivyo Coins 28.57 au Tsh 496,482 ndiyo fedha yako baada ya tokens zako kutoka mining. Na hii huchukua kati ya wiki mbili hadi sita (max) kwa zoezi hili kukamilika.
Biashara haishii hapo. Ndabi ya akaunti yako ya uanachama kuna One Exchange, ambayo ni Soko la ndani ambamo  ndani yake:
·         biashara ya kuuza na kununua tokens inafanyika
·         biashara ya kuuza na kununua One coins pia inafanyika
Biashara ni endelevu kati wanachama (miners) wao kwa wao, na wao na kampuni. Na ina mwongozo mzuri na thabiti.
kwa kifupi tokens unazopata kwa kununua package unaweza fanya moja yafuatayo kadri upendavyo mwenyewe;
·         kuuza tokens (bei ya sasa ni Euro 0.156 kwa token moja)
·         kusubiri SPLIT, ili tokens zi double na kupeleka mining ili kupata coins.
·         Au ukatunza tokens zako na kusubiri yake itakapokwenda juu, then ukaziuza kwa bei ya juu na kupata faida kupitia kuziuza.
Kwa coins, pia unaweza kuuza ili kununua tokens zaidi na kuzalisha COINS.
Coins pia unaweza kuzitunza na ukazitumia baade pale thamani inakwenda juu, na ukatengenza faida kwa jinsi hiyo.

Ndani ya akaunti yako ya uanachama, kuna akaunti zingine kama:
1.    Cash account (hii inatunza fedha zako katika Euro)
2.    Coins account (hii inatunza coins zako)
3.    Tokens Account  (hii inatunza tokens zako)
4.    Trading Account  (hii hutumika kufanya manunuzi ya tokens na coins

Akaunti hizi zinalindwa na TRANSACTION PASSWORD yako utakayoweka.

Hapo biashara ni endelevu kila mwezi mwaka mzima.


SEHEMU YA PILI

BONUS ZA KILA WIKI

Hii ni ziada kama utapenda kuzipata. Kuna bonus za aina tatu zinazofanya kazi:

1.    Direct sale Bonus
Hii inatokana na watu uliowaalika wewe kuwa wanachama katika One Coin (yaani uliowasajili wewe). Nayo asilimia kumi ya manunuzi ya package zote watakazonunua.

2.    Team Bonus
Hii inatokana na watu wote walio kwenye team yako (uliowaleta wewe na walioletwa na watu waliokutangulia (uplines) wako). Hesabu yake ni asilimia kumi ya point ziitwazo BV kama package zinavyoonesha.

3.    Matching Bonus
Hii inatokana na vizazi vyako halisi cha kwanza hadi cha nne. Nayo ni asilimia 10.



SEHEMU YA TATU

ONEACADEMY

OneAcademy is an innovative e-learning platform covering a broad range of financial topics including trading, the stock exchange, cryptocurrency, financial analysis, asset management and more. Our mission is to provide our students with the guidance and educational materials they need to achieve financial literacy. Our 6-level program, developed by finance experts and academics, is highly-structured and easy to understand. Learn at your own pace and be part of the future of global finance. 

Hapo unapata Elimu ya Fedha. Package ya Starter inakuruhusu kupata elimu hii level ya kwanza.


HIVYO NDIVYO MAMBO YALIVYO KATIKA BIASHARA NA ONECOIN


Unaweza kutembelea tovuti hizi kwa habari zaidi:


Hii ya chini tunaitumia sisi wanachama kuingia kwenye akaunti zetu:
www.onelife.eu

Habari kwa njia ya video utapata kwenye kwenye WWW.YOUTUBE.COM
 kwa ku search kwa jina la OneCoin.

NOW:
You can get a OneCoin account (member account) with a ROOKIE Package for free so that you get used to the account and other issues related to the company or business. I suggest you have this account, you can activate it later at your wish/decision. If you wish that I can supply you my referral link so that you join the business.

FUNGUA ACCOUNT YAKO NA UANZE UWEKEZAJI SASA KWA KUBONYEZA HAPA
 NIBONYEZE ILI UFUNGUE ACCOUNT YAKO ONECOIN


Niulize wakati wowote kwa ufafanuzi zaidi.
Email;yonafikalex@gmail.com
Phone;0755212387(whatsapp only, ukija andika jina lako na sms yenye neno Onecoin)

KARIBU SANA

Unknown

Author & Editor

Has laoreet percipitur ad. Vide interesset in mei, no his legimus verterem. Et nostrum imperdiet appellantur usu, mnesarchum referrentur id vim.

0 comments:

Post a Comment

 
biz.